February 21, 2019 Naibu Waziri wa Kilimo Omari Mgumba amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa ofisi mpya za wizara yake unaoendelea katika mji wa kiserikali Dodoma ambapo Serikali ilifanya maamuzi ya wizara zote kujengwa katika eneo hilo, Mgumba ametaka Watanzania wote kutoa pongezi kwa Rais John Pombe Magufuli katika uamuzi wake huo kutokana na kwamba umewezesha kukua kwa uchumi ikiwemo kuongeza vipato kwa wananchi wa kawaida.
Waziri Mkuu awashukia Viongozi “Wakubwa mnagombana, mnatumiana uchawi, mtakimbia ofisi