Shule 10 zilizoongoza kwa kufaulu Mtihani wa form six nchini Tanzania mwaka 2022:
10. Ziba, Tabora – Shule ya Serikali
9. Mkindi, Tanga – Shule ya Serikali
8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
7. Nyaishozi Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi
6. Dareda Sekondari Manyara – Shule ya Serikali
5. Ahmes Sekondari Pwani – Shule ya Binafsi
4. Tabora Girls Tabora – Shule ya Serikali
3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
2. Kisimiri Sekondari Arusha – Shule ya Serikali.
1. Kemebos Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi.
Tazama Matokeo yote ya Kidato cha Sita Mwaka 2022 https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm