Serikali imesema ufinyu wa Bajeti na uchakavu wa miundombinu unachangia kwa kiasi kikubwa kushindwa kuchukuliwa kwa Wahitimu wote wa Kidato cha Sita kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa JKT.
Akijibu maswali ya baadhi ya Wabunge leo Bungeni Mjini Dodoma waliotaka kujua ni kwanini fursa ya kujiunga na JKT inatolewa kwa vijana wachache na sio kwa wahitimu wote wa kidato cha sita ambapo Dk. Mwinyi amesema mafunzo huendeshwa kwa kutumia fedha zinazopatikana toka hazina na pia kwa kutumia rasilimali zinazotokana ndani ya Jeshi hali inayopelekea kuchukua idadi inayoendana na rasilimali fedha zilizopo na si vinginevyo.
MAGUFULI AWA-SURPRISE GHAFLA MASTAA WA BONGO, APIGA SIMU KWA MSANII LIVE