Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Samatta kafunga huu ndio ukweli kama unataka kucheza Ulaya

on

Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta anatajwa au kuonekana kama Role Model kwa wachezaji na vijana wengi wa kitanzania, hivyo katika exclusive interview Samatta aliyofanya na AyoTV amefunguka na kueleza ukweli kwa wachezaji wanaotaka kwenda kucheza soka Ulaya.

Samatta anacheza soka katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji na imekuwa ndoto ya vijanan wengi wa kitanzania kutamani kupata nafasi ya kucheza soka ulaya, hivyo leo Samatta ametaja vitu vya kuzingatia kwa wale wenye ndoto ya kucheza Ulaya.

“Kwa kweli mimi mwenyewe binafsi naona bado nina jukumu kubwa sana au safari ndefu ya kuweza kufika kwenye mafanikio, naweza kuwaambia kwamba kila mmoja anaweza kutokana na juhudi zake na kila mmoja ana njia yake, wanaweza wasipite kwenye njia ambayo mimi napita lakini wanaweza kufanikiwa kuliko mimi”

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

Soma na hizi

Tupia Comments