Top Stories

Ilichokibaini Kamati ya Bunge baada ya kufanya ukaguzi Mwanza.

on

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ipo Mwanza na imekagua miradi iliyotengewa pesa za Serikali kama imetumika ipasavyo na leo imetembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana Bwiru, Shule ya Sekondari ya Wasichana Ngaza pamoja kukagua jengo jipya la Mkuu wa wilaya ya Nyamagana eneo la Mkolani Mwanza.

Baada ya kufanya ukaguzi kwa niaba ya Kamati hiyo yenye Wabunge 30, Kaimu Mwenyekiti wa kamati Aeshi Hilaly akatoa tathimini yao.

Benki iliyofilisiwa yaanza kulipa wateja “niliweka Mil. 10 naambiwa nitapewa Mil. 1.5”

Soma na hizi

Tupia Comments