Leo March 6, 2018 Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kuwahudumia wananchi kwa uadilifu na weledi ili kuleta maendeleo kwa kutatua changamoto zao.
“Mtu anakuja unamwambia umeenda kunywa chai yeye anashida, niwaambieni ndugu zangu Mungu analipa yeyote mwenye roho mbaya kama Mungu hatolipa kwako kwa watoto atalipa, mtu anakuja msikilize kama uwezi msaidia muelekeze,” -Ngemela Lubinga
BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA NA KUSIKILIZA