Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Ferooz anakukaribisha kuitazama hii “Najaribu”

on

Msanii mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva Ferooz ameamua kuja na video mpya ya “Najaribu” na kumfanya kuonekana tofauti katika muziki ukilinganisha na kazi zake alizowahi kuzifanya kipindi cha nyuma kuitazama video hii bonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO:“Tukiamka asubuhi tunagombana kwanza” – EBITOKE

Soma na hizi

Tupia Comments