Hekaheka ya leo Novemba5, muendelezo wa kile tulichokuwa tunakisikia kwa siku ya tatu kuhusu Maalim, leo mke wa mwisho asimulia mbinu aliyotumia kumwibia, atumia picha yake ya utotoni kudanganya kuwa ni mwanae aishie uarabuni atapeli wanawake Tanga, Morogoro, Dodoma, Zanzibar na Mombasa Kenya.
Mbinu ya mkewe kumtishia kunywa sumu yasaidia kutiwa mbaroni na jeshi la polisi, unataka kujua namna ‘maalim’ alivyokamatwa?
Sikiliza Hekaheka ya Leo iko hapa….
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook