AyoTV

“Lazima tuchukue hatua kali, kesho namfikishia Rais” – Majaliwa

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo September 6, 2017 amepokea ripoti za Kamati Maalumu zilizoundwa na Bunge kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi katika viwanja vya Bunge Dodoma kutoka kwa Spika wa Bunge Job Ndugai.

RIPOTI YA MADINI! Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya

Soma na hizi

Tupia Comments