Kituo cha sheria na haki za binadamu leo May 3 2017 kimezindua ripoti ya haki za binadamu, ripoti imegusa kila haki za binadamu ikiwemo haki za kiraia, haki za kisiasa, haki za makundi maalum, upatikanaji wa huduma za jamii na haki ya kuishi. Bonyeza play hapa chini kuitazama.
VIDEO: Kituo cha sheria na Haki za binadamu wameishtaki Bodi ya mikopo, Bonyeza play hapa chini