Nyumba/ Mijumba

Picha 10: Ufundi uliotumika kutengeneza swimming pool katika jengo hili…

on

Hakika kila mtu anapenda kuishi sehemu nzuri ambayo inavutia, na stori hii ni kwa wenye pesa zao ambao wanapenda kujenga majengo mazuri na kuweka mapambo ya gharama kubwa ili kuvutia mazingira yake.

Ukweli ni kwamba, miongoni mwa sifa zinazowatofautisha wabunifu ni kuwa na vitu vya tofauti katika kazi zao ambazo mara nyingi huwapa umaarufu mkubwa ambapo katika pitapita zangu nimekutana na hizi picha ambazo unaweza kuchukua chochote hapa hasa namna ya ujenzi wa bwawa la kuogelea ‘Swimming pool’ na mahala lilipojengwa.

Ujenzi wa swimming pool katika jengo hili ni tofauti kama tulivyozoea kuona katika maghorofa mbalimbali ambapo hujengwa ama chini kabisa au juu kabisa, lakini mbunifu wa jengo hili amekuja na kitu tofauti ambapo bwawa la kuogelea ‘Swimming pool’ lipo ghorofa ya pili kitu ambacho sio cha kawaida.

Unaweza kupitia picha hizi 10 hapa chini…

VIDEO: Picha za juu za ujenzi wa Double Road ya Arusha-Voi Kenya, Bonyeza play hapa chini kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments