Leo September 21 2017 Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amekutana na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe rasmi kwenye nafasi hiyo ambapo alitoa taarifa juu ya Mkutano wa mwaka wa Chama cha Majaji na Mahakakimu wa Jumuiya ya Madola ambao utafanyika September 24 hadi 28, 2017 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu, Dar es Salaam.
Jaji Mkuu kajibu kuhusu kulinganisha uhuru wa mahakama kati ya TZ na Kenya