Video Mpya

VideoMPYA: Ommy Dimpoz akiwa na Petra wanakukaribisha kuitazama ‘One and Only’

By

on

Mabibi na Mabwana ni Ommy Dimpoz chini ya record label ya Rockstar ametuletea ngoma mpya inaitwa ‘One and Only’ ft Petra, anza wikiendi yako kwa kuburudika na ngoma hiyo kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

AUDIO: “NI KIKI KUACHANA KWA VANESSA NA JUX?” MASHABIKI WAHOJI

Soma na hizi

Tupia Comments