Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mzee anayetengeneza radi Sumbawanga kafunguka, anao wateja Kenya, Congo na South Africa

on

Kutana na Mzee Fabiani mwenye umri wa zaidi ya miaka 80 anayeishi Sumbawanga mkoani Rukwa ambaye ni maarufu sana kutokana na uwezo wake wa kutengeneza radi kwaajili ya kujikinga na mabaya pamoja na kutoa tiba mbalimbali za asili kwa watu wenye magonjwa au mattaizo yao mengine.

Mzee Fabiani amefunguka jinsi anavyotoa huduma zake kwa watu mbalimbali ikiwemo watu wa kutoka mataifa tofauti kama Congo, Kenya na hata South Africa ambao mara nyingi wamekuwa wakienda mpaka Sumbawanga kutafuta tiba yake.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

Soma na hizi

Tupia Comments