AyoTV

VIDEO: Mbunge wa zamani Idd Azan alivyofika kituo cha polisi kati kutii wito wa Makonda

on

Baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza awamu ya pili ya sakata la dawa za kulevya huku jina la mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azan akiwa kwenye list, leo February 10 2017, Idd Azan amefika kituo cha polisi kati kuitikia wito wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda aliyewataka kufika kituoni hapo kwa mahojiano.

VIDEO: Paul Makonda alivyotaja wengine, ajibu ya Wema na Masogange, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments