fB insta twitter

Maboresho mengine yaliofanyika kwenye mtandao wa Instagram

on

Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyoboreshwa kila siku, Instagram imeingia kwenye headlines ambapo December 6 2016 imefanyiwa maboresho zaidi ambapo awali mtu alikuwa anaweza  ku-comment kwenye picha ya mtu na bila kuwa na uwezo wa ku-like

Lakini kwa sasa unapo-comment kwenye picha ya mtu yule mwenye picha yake anaweza kujibu na ku-like comment hiyo tofauti na ilivyokuwa zamani mtu anaweza kujibu comment kwa ku-comment. Huu ni mfano wa maboresho hayo yanavyoonekana kwa sasa.

screenshot_20161206-212709

VIDEO: Posta kubwa zilizopostiwa kwenye Instagram za mastaa wiki hii

Soma na hizi

Tupia Comments