Rapper Kanye West amechukua headlines baada ya kuonekana akifurahia kile ambacho anakifanya katika muziki ni kwenye huduma ya Jumapili aliyoitoa February 24,2019 ikiwa imefanyika nje tofauti na I;ivyozoeleka na kupiga ngoma ya ‘This is the Day’ ya Fred Hammond pamoja na ‘Stretch My Hands’ ya Father.
Rapper na mtayarishaji Swizz Beatz ameaonyesha kufurahia kile alichokifanya Kanye West na kusema kuwa huyu ndiye Kanye anayenihamasisha, ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa instagram
“Huyu ndiye Kanye ambaye ananihamasisha , Jumapili Njema, muziki mzuri,mzuka mzuri” >>>Swizz Beatz
ABDUKIBA “Sifanyi show ambayo hainilipi, walimtaka Alikiba mimi nikafanye nini?”