Ikiwa leo ni Alhamisi ya November 15,2018 huenda ikawa ndio siku maalum kwaajili ya kujikumbusha vitu vya nyuma ambavyo vimebaki kama kumbukumbu kwenye upande wa filamu za Kitanzania.
Ayo Tv na Millardayo.com zimekutana na wadau mbalimbali na wamezungumza kuhusiana na filamu za Kitanzania ambazo zili-hit miaka ya nyuma lakini bado zinakumbukwa mpaka leo kutokana na ujumbe uliokuwepo ndani ya filamu hizo.
Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu filamu hizo.
VIDEO: Ushuhuda wa Nancy Sumari baada ya kuonekana duka la DANUBE HOME