Kutana na Fashion Designer Sheria Ngowi kwenye Exclusive interview na AyoTv amezungumzia kuwahi kumvalisha Rais wa Zambia pamoja na Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na hadi sasa ana tuzo 28 kutokana na kazi zake kutambulika.
Sheria Ngowi amegusia ishu ya mfanyabiashara Mo Dewji kutekwa siku kadhaa zilizopita na kutamani kutengeneza suti ambayo itakuwa kwaajili ya kujikinga na maadui ikiwemo na suti za ‘Bullet Proof’.
Bonyeza PLAY kusikiliza A-Z alichozungumza Sheria Ngowi.
Steve Nyerere amjibu Bomboko wa UVCCM “Sijui kama anajua cheo chake”