Msanii kutoka Bongflevani Alikiba amezungumza vitu alivyoenda kuvifanya Chato mwishoni mwa juma lililopita ikiwa ni pamoja na kwenda kumuona Mama wa Rais JPM na kutembelea baadhi ya Shule na Hospitali huku sababu kubwa ikiwa ni show ambayo alitakiwa kwenda kufanya kipindi cha nyuma lakini hakuweza kwenda.
Kwenye safari hiyo Ali Kiba alikuwa na mdogo wake Abdu Kiba na walipata nafasi ya kuelezea furaha yao juu ya mapokezi mazuri waliyoyapata kutoka kwa mama mzazi wa Rais JPM pamoja na sehemu walizotembea katika wilaya ya Chato.
Bonyeza PLAY kumsikiliza ALIKIBA
EXCLUSIVE: Diamond Kafunguka kolabo na Alikiba