Video Mpya

VideoMPYA: Billnass na Roma Mkatoliki wanakuambia ‘Funga Geti’

on

millardayo.com inakukaribisha kuitazama video mpya kutoka kwa mkali Billnass na Roma Mkatoliki wimbo unaitwa ‘Funga Geti’ ndani ya video ameonekana mtoto mwenye umaarufu mtandaoni kutokana na style yake ya uchekeshaji Mai Zumo na mtoto wa msanii Madee anayeitwa Chonge.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

NOMA!! Poshy Queen VS Sanchi, Juma Lokole kafunguka vitu vitatu wanavyozidiana

VIDEO: Mpenzi mpya wa Hamisa amtoa chambo Carry “Dogo toa hiyo kabla sijakuzaa mtoto wa pili”

Soma na hizi

Tupia Comments