Rais John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam kufatilia sakata la mafuta ya kupikia ambalo limemiliki vichwa vya habari kwa uzito kuanzia wiki iliyopita.
Kabla ya JPM kutoa tamko lake alipokea kwanza maelezo ya Wataalamu mbalimbali wanaohusika kulifatilia sakata hilo ambapo mmoja wa walioongea ni Ofisa wa TRA ambae alimwambia Rais kwenye sakata hilo kuna sehemu wenye mafuta walidanganya.
Kwenye hii video fupi hapa chini kuna maamuzi ya Rais Magufuli kwa Ofisa huyo wa TRA
BREAKING: RAIS JPM ASHTUKIZA BANDARINI SAKATA LA MAFUTA YA KUPIKIA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA KWENYE FULL VIDEO