Baba wa mtoto wa Masogange anayeitwa Sabri Shabani amezungumza na AYO TV na millardayo.com baada ya matokeo ya mtihani wa darasa la saba aliyoyapata mtoto wake, ambapo mzazi huyo amesema alikuwa anatarajia mtoto wake kufaulu zaidi lakini taarifa za msiba wa mama yake zimekuwa miongoni mwa sababu zilizochangia kushuka kwa ufaulu wake.
TAZAMA EXCLUSIVE YA BABA MZAZI WA MTOTO WA MASOGANGE AKIONGA KWA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI.
UMEIONA HII..? WALICHOJIBU IRENE UWOYA NA JOHARI WAKATI WANAHOJIWA
Nay wa Mitego kafunguka baada ya kufika BASATA “Hatuwezi kufanya kwa kubomoa”