Baada ya taarifa za kifo cha producer Pancho Latino kilichotokea leo October 9,2018katika kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam, baadhi ya mastaa wameonesha kuguswa kwao na taarifa hizo na kuandika masikitiko yao kupitia kurasa zao za instagram ambapo miongoni mwa watu hao ni pamoja na mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongofleva Marco Chali.
Ayo TV na millardayo.com imempata Marco Chali ambaye kazungumza… Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza MARCO CHALI.
MWANZO MWISHO: Shuhuda asimulia kifo cha Pancho Latino kilivyotokea Mbudya