Kutana na mpicha picha Jermaine Gibbs kutokea nchini Marekani ambaye amekuja Tanzania kwa lengo la kutangaza nchi ya Tanzania kutokana na kubarikiwa maliasili na kuelimisha watu wa Marekani kuhusiana na bara la Afrika.
Kupitia exclusive interview na Ayo TV Jermaine Gibbs amefunguka kuwahi kuuza picha yenye thamani zaidi ya shilingi Milioni 8 za Kitanzania baada ya kwenda nchini Ghana na kubahatika kumpiga picha mama mmoja nchini humo, picha ambayo ilipendwa sana nchini Marekani, Bonyeza PLAY kutazama mwanzo mwisho.
Ulipitwa na Miss Tanzania 2018 alivyosaini mkataba mwingine leo? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO