Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Waziri Jafo amsimamisha kazi Mkurugenzi (+Video)

on

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoa wa Rukwa Julius Kaondo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazomkabili.

Natangaza kumsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Julius Kaondo kuanzia leo ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili za rucha pamoja na kushindwa kusimamia hatua za manunuzi katika mradi wa maji wa kijiji cha Kamwanda Wilayani Nkasi akiwa kama afisa masuuli wa halmashauri hiyo“-Waziri Jafo

Aidha nichukue nafasi hii kutoa wito kwa wakurugenzi, wakuu wa idara pamoja na watumishi wote wa mamlaka za semrikali za mita nchini kutojihusisha na vitendo vya rushwa katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini” –Waziri Jafo

DAH!! Kijana wa miaka 20 kahukumiwa jela miaka 30 Bukoba

Soma na hizi

Tupia Comments