Watu wawili wamefariki Dunia baada ya kukatwa mapanga na Mtu ambaye jina lake halijafahamika, Katika Kata ya Poli Wilayani Arumeru, Arusha, chanzo ni ugomvi unaodaiwa kusababishwa na kupotea kwa simu.
Baba wa mmoja wa marehemu,Isaka Matulo amesema alipata taarifa usiku wa saa saba “nimeambiwa Vijana walikuwa wanakunywa pombe wakasahau simu waliporejea kuulizia wakakatwa na mapanga wakituhumiwa ni wezi.
Mtendaji wa kata hiyo John Panga amethibitisha na kuwataka Wananchi kutojichukulia sheria mkononi.
MAMA ALIEINGIA IKULU KUMDANGANYA RAIS “IKULU MAHALI PAKATIFU, SI SEHEMU YA KITAPELI”