Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi James Mbatia leo amezungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam mambo mbalimbali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 25 ikiwemoshutuma alizozitoa Dr.Slaa kuhusu mgombea wa UKAWA Edward LOWASSA.
Hapa nimekuwekea alichokisema mbele ya waandishi wa habari..
JAMES MBATIA-Sote tunalipenda sana Taifa la Tanzania,tunaamini ni ndugu,watoto wa familia moja ya mama anayeitwa Tanzania #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Muungano wetu huwezi kuupata katika nchi nyingine,sisi tuna nchi 2 ndani ya Taifa moja tofauti na wenzetu’ #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumekuwepo na chaguzi za aina mbalimbali #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Sisi binadamu tutapita lakini Tanzania itaendelea kuwepo, Mwl.Nyerere aliasisi Taifa hili bila kumwaga damu #MillardAyoUopdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Sisi binadamu tutapita lakini Tanzania itaendelea kuwepo, Mwl.Nyerere aliasisi Taifa hili bila kumwaga damu #MillardAyoUopdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Nyerere aliasisi kanuni ya utu ambayo ni ya kwanza, kwa maana binadamu wote ni ndugu,ndiyo wosia wake #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Wakati wa kuasisiwa kwa Taifa la Tanzania hata mimi nilikuwa sijazaliwa lakini leo tunafurahi tupo pamoja #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tafiti zinaonyesha vyama vilivyopo madarakani, viashiria vya kuondoka madarakani vinafanya walete machafuko #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tafiti zinaonyesha vyama vilivyopo madarakani, viashiria vya kuondoka madarakani vinafanya walete machafuko #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kwa mfumo tulionao hapa Tanzania wa kuongozwa na Katiba, tulivyoingia vyama vingi ikabadilishwa ibara ya 3 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Sote tulishuhudia uzinduzi wa chama dola, yule Mkuu wa Mkoa amevaa magwanda ya Kijani, yupo anavunja sheria #MillardAyoUpadates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Sote tulishuhudia uzinduzi wa chama dola, yule Mkuu wa Mkoa amevaa magwanda ya Kijani, yupo anavunja sheria #MillardAyoUpadates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kova alimpigia saluti na hakuna wa kukemea hilo wala IGP hakuthubutu kufungua mdomo wake kuzungumza #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Ndio maana tunasema chama hiki ambacho Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni sehemu ya kamati za siasa ndani ya CCM’ #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Katiba inasema Majeshi hayaruhusiwi kuingia ndani ya chama cha siasa lakini majeshi yote yanawajibika CCM #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Viashiria vimeanza kujitokeza sasa chama dola kipo tayari kufanya machafuko ili kiendelee kubaki madarakani #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Yanayoendelea sasa ni hoja ya mgombea LOWASSA anashutumiwa sana na kwa jazba kubwa kwamba yeye ni fisadi #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Yanayoendelea sasa ni hoja ya mgombea LOWASSA anashutumiwa sana na kwa jazba kubwa kwamba yeye ni fisadi #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Ni kuhusu kashfa ya Richmond, sawa, Richmond Ni kati ya kashfa nyingi sana zilizotokea ndani ya nchi yetu #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Yeye mwenyewe alijiuzulu Uwaziri mkuu 2008, akisema anafanya hivyo kwa heshima ya Serikali yake na chama pia #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Yeye mwenyewe alijiuzulu Uwaziri mkuu 2008, akisema anafanya hivyo kwa heshima ya Serikali yake na chama pia #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kama alihusika na ripoti ya kaka yangu MWAKYEMBE, inasemekana kwamba kwa utafiti basi ajipime yeye mwenyewe #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kama alihusika na ripoti ya kaka yangu MWAKYEMBE, inasemekana kwamba kwa utafiti basi ajipime yeye mwenyewe #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kama alihusika na ripoti ya kaka yangu MWAKYEMBE, inasemekana kwamba kwa utafiti basi ajipime yeye mwenyewe #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kama alihusika na wizi,rushwa, ametoka madarakani, Waziri Mkuu hana kinga ya kutoshtakiwa akitoka madarakani #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tangu 2008 mpaka leo hii Waziri Mkuu ambaye hana kinga ya kutoshtakiwa zaidi ya Rais,mbona hakushtakiwa? #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Wametoa sababu hiyo, tuliwahi kufanya utafiti wa ufisadi maana yake nini?tukamshauri Rais na barua ninayo #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Walisema MBATIA amechafua hali ya hewa, nikashambuliwa kweli kweli kwenye mkutano kwamba mimi ni mamluki #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Nilieleza pia kama ni pamoja na kujiuzia nyumba za Serikali,ubinafshaji wa mashirika ya umma, nani atapona? #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Taarifa za mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali kila mwaka zinatisha kwa ubadhirifu wa kiwango cha juu sana #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Sote tunakiri kuwa nchi yetu inakabiliwa na giza nene la ufisadi usiotimilika katika historia ya nchi yetu #MillardAtoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Ufisadi umeathiri maendeleo ya Taifa na sasa unatishia uhai, amani na usalama wa taifa la Tanzania #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Hivi sasa hakuna sekta yoyote ya jamii ya Watanzania ambayo haijaguswa na ufisadi, nilimwambia Rais haya #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kuna tuhuma kwamba mabilioni hayo yalitumika kununua uchaguzi mkuu 2005, wapigakura wengi walilishwa rushwa #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Kwa mfano nilimwandikia Rais tukizungumzia kashfa ya benki kuu ya majengo pacha, madeni ya EPA ni cha mtoto #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Ripoti ya mwaka huu inaonyesha taasisi zinazoongoza kwa rushwa ni Jeshi la Polisi, Mahakama, TAKUKURU, TRA #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Ushahidi wa kidola unaonekana dhahiri katika kashfa kama ya IPTL,MEREMETA,EPA, Richmond, Mashirika ya umma #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tukiwauliza wanaosimama kwenye siasa, MAGUFULI, SITTA,WARIOBA.. nani wa kusimama jukwaani na kusema msafi? #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tukiwauliza wanaosimama kwenye siasa, MAGUFULI, SITTA,WARIOBA.. nani wa kusimama jukwaani na kusema msafi? #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Tar 14 Dr.SLAA alitakiwa atangazwe mgombea Urais, akasema anaomba asitangazwe kwanza mpaka tufanye mbwembwe #MillardAyoUPADATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Leo hii anasema hajawahi kutia nia wala kuwa na shamsham za kutaka Urais, kweli? tuwe wakweli jamani #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Nakumbuka aliyeenda hadharani na kumuomba LOWASSA ajiunge na UKAWA kwenye ofisi za CUF ni mimi mwenyewe #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-Wanaoomba mdahalo, nawakaribisha kwenye mdahalo waje na mimi, wala wasimsumbue mgombea wetu si saizi yao #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-SITTA nitamuuliza ofisi aliyojenga Urambo akiwa madakani ya milioni 500, je kuna ofisi ya Spika huko? #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Vijana walio wengi ambao Taifa hili ni lao tusiruhusu watu wachache ambao wanataka kwa lazima wawe madakani #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
JAMES MBATIA-‘Vijana walio wengi ambao Taifa hili ni lao tusiruhusu watu wachache ambao wanataka kwa lazima wawe madakani #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos