
Nafahamu ni mashabiki wengi ambao mnatamani kusikia kile alichokuletea Ciara sasa basi time hii ameachia hii single yake mpya iitwayo I Bet.
Unahitaji kupata kila stori inayonifikia mtu wangu? Niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook