
Tunafahamu kuwa Mike T na Juma Nature ni wasanii wa kitambo sana sasa good time ninayotaka kukusogezea ni kwamba muda si mrefu wataachia single mpya iitwayo Uliniona Sina Maana iliyotayarishwa na producer G-Kifaa.
Kaa tayari kwa ujio huo mpya wa single yao.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook