Hili ni eneo la Jangwani sehemu ambayo mara kadhaa inaponyesha mvua kubwa hua inakumbwa na mafuriko kwa haraka kutokana na mto ulio eneo hilo,millardayo.com ilipita eneo hilo ili kuangalia kinachoendelea kwa sasa baada ya mvua kunyesha.
Serikali ya mtaa ya Jangwani imejichanga na kwa pamoja imeleta Kijiko kwa ajili ya kuchimba ili maji yaliyokwama kwenye makazi ya watu yatoke na watui kurejea majumbani kwao ambapo pia wame-amplify taarifa ya kujaa kwa Camp zao ambazo waliziandaa kwa chochote kinachoweza kutokea.
Jumla ya Camp hizo ni 4 zilizopo eneo la Jangwani na kila Camp ina watu wasiopungua 80,hizi ni picha za eneo la Jangwani lilivyo kwa siku ya leo April 13.
Miongoni mwa viongozi wa Jangwani