Kwa mujibu wa mtandao wa New Frontier Data umetaja Mataifa 10 ya Afrika yanayo ongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaotumia bangi, fahamu kuwa Tanzania imetajwa kwenye nafasi ya 5 ikiwa inaongoza nchi za Afrika Mashariki kwa idadi kubwa ya watu waliojiingiza kwenye matumizi ya bangi.
Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu Top 10 ya mataifa hayo barani Afrika.
VIDEO: KWA MARA YA KWANZA JACQUELINE AANDIKA KUMHUSU MUMEWE DR. MENGI