Ni Exclusive Interview ya AyoTV na millardayo.com kuhusu hali ya afya ya sasa ya Vengu ambae tulimfahamu kwa kazi yake ya uchekeshaji kwenye kundi la Orijino Komedi.
Baada ya Vengu kutoendelea kuonekana hadharani kwa miaka, Seki ambae ni kiongozi wa kundi hilo ameiambia millardayo.com >>> “Vengu ameshavuka hatua za kukaa Hospitalini na sasa yuko nyumbani anamalizia hatua nyingine ya matibabu ambayo ni nje ya Hospitali“
Tazama hii video hapa chini kupata maelezo zaidi…
VIDEO: Harusi ya Joti alivyoingia ukumbini kwa sebene…. bonyeza play hapa chini kutazama
.