Jetman ni msanii wa Ragga Tanzania, ameugua kwa zaidi ya miaka mitano sasa yupo kitandani lakini pamoja na kuwa hawezi kuinuka kitandani na maumivu makali anayoyapata hajaacha kutengeneza muziki, anawezaje na mengine kuhusu Afya yake, Jetman amezungumza na AyoTV na millardayo.com nyumbani kwao.
VIDEO: Clouds Mwanza kwenye kampeni ya kumuinua tena Jetman, Bonyeza play hapa chini kutazama