Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa ameendelea kuweka msisitizo wa kupiga marufuku ya kufanya biashara ya bodaboda kwa nyakati za usiku kwani bado ni hatari kwa usalama wa dereva na abiria.
Ameeleza kuwa sheria inaelekeza kuwa kwa siku za kazi bar zote zinafungwa saa 5 wakati kwa siku za weekend na sikukuu bar zinafungwa saa 6 hivyo hawategei bodaboda kufanya kazi baada ya muda huo labda iwe kwa sababu maalumu.
Ulipitwa na hii? Mfumo wa kuondoa picha za unyanyasaji kwa watoto mitandaoni wazinduliwa