Premier Bet
TMDA Ad

Video Mpya

VideoMPYA: “Hesabu” ya Nikki wa Pili imeachiwa ft Joh Makini x S2kizzy

on

Kutoka Weusi Kampuni sasa ni zamu ya Nikki wa Pili ametuletea video ya ngoma yake mpya inaitwa ‘Hesabu’ amempa shavu kaka yake Joh Makini na S2kizzy, Director ni  Jowzeey. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama pia usisahau kuweka comment yako.

MAGAZETI LIVE: Askofu: ”2020″ chagueni Mtu sio Chama, Bombadier aliyofichua Lissu yaachiwa

 

Soma na hizi

Tupia Comments