Baada ya makato kwa wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu juu kupandishwa kutoka 8% hadi 15%, leo May 2 2017 kituo cha sheria na haki za binadamu kimefungua kesi ya kikatiba kwenye mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya bodi ya mikopo kuhoji uhalali wa ongezeko la makato hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama
VIDEO: Ombi la TUCTA DSM kwa Serikali kuhusu wenye vyeti feki, Bonyeza play hapa chini kutazama