AyoTV

Pale Mwanaume muoga na asiejua kupika anapoachwa nyumbani

on

Screen Shot 2014-03-26 at 3.23.53 PMWakati mwingine inaweza kuonekana kama kichekesho lakini ni kitu kinachowakuta wengi sana… unaambiwa hii inatokea pale ambapo Mwanaume muoga na asiejua kupika anaachwa peke yake nyumbani alafu njaa inamshika so inabidi tu aingie jikoni.

Mcheki hapa chini…

[youtube youtubeurl=”7vL9H7xFbmk” ][/youtube]

Imeshawahi kukutokea au kumtokea yeyote unaemfahamu?

Tupia Comments