Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo Mei 9, 2019 ili kuchangia mapendekezo katika Bajeti kuu ya Wizara Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2019/20 ambapo amelieleza Bunge kuhusu maendeleo yaliyofanywa na Serikali katika bandari ya Dar es salaam iliyokuwa ikisifika kwa matukio ya wizi wa mizigo ya wafanyabiashara.
MBUNGE MUSUKUMA KAMGEUKIA WAZIRI UMMY MWALIMU BUNGENI “UNASTAHILI TUZO”