Muimbaji kutokea THT Jay Melody amezungumza na kusema kuwa ‘yupo single na anatafuta mchumba’, ameongea hivyo baada ya kuulizwa kuhusu mahusiano yake ikiwa ni pamoja na kupokea massage nyingi kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Tazama video hapa chini kwa kubonyeza PLAY.
VIDEO: Lulu Diva asema mapenzi yamemshinda, afanya maamuzi magumu