Meneja wa Alikiba, Seven Mosha amezungumza kuhusu kile kinachomsumbua muimbaji Ommy Dimpoz ikiwa hivi karibuni ziliripotiwa taarifa za kuumwa kwa msanii huyo ambaye yupo nje ya nchi ambako ndipo alipofanyiwa matibabu.
Msikilize Seven akifunguka Ukweli kuhusu ugonjwa huo
LIVE: Kinachoendelea kwenye Harusi ya Dada wa Alikiba, Zabibu na Abdi Banda