Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Maisha aliyokutana nayo Thomas Ulimwengu nchini Sudan

on

Ayo TV leo inakusogezea Exclusive interview na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambaye kwa sasa anacheza soka katika club ya Al Hilal ya Sudan aliyojiunga nayo mwaka huu.

Thomas Ulimwengu ameshacheza soka sehemu mbalimbali, Ulaya na Afrika katika nchi kama za Congo na Sweden lakini ndio kwa mara ya kwanza kwa anacheza soka katika nchi ya Kiarabu (Sudan), kwa upande wake tunajua nchi za kiarabu sheria zake ngumu kidogo.
Pamoja na kuwa Ulimwengu sio mtu wa kwenda club za muziki au sehemu za starehe lakini amekutana na maisha ambayo sio kama ya Tanzania, unaambiwa Sudan kama ni mnywaji wa bia huwezi kuipata, kama mtu ni mpenzi wa kwenda club za usiku kule hakuna.

EXCLUSIVE: Samatta kafunga huu ndio ukweli kama unataka kucheza Ulaya

Soma na hizi

Tupia Comments