Inawezekana ikawa ni shavu kubwa kutoka kwa President Jakaya Kikwete kwenda kwa Wema Sepetu na Steve Nyerere baada ya kupost picha wakiwa Ikulu ya Dodoma na kuzipa maneno yanayoashiria kitu kikubwa kinakuja kutoka kwao.
Moja ya post za Wema Sepetu ni hii ambayo kaandika.‘Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President…????????????‘
Baada ya post hiyo muda mfupi uliopita akaandika nyingine pia
Ingawa amepost picha kadhaa ipo nyingine hii mtu wangu.
Nyingine hii ya kuendelea kuongea mi yangu yananiendea…. Keep em coming honey bunnies ….. Nimesema wa moja…? #KidumuChamaChaMapinduzi #CCMOyeeee …. A photo posted by ????wemasepetu???? (@wemasepetu) on
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos