Top Stories

Mapokezi ya January Makamba Iringa alipoenda kutafuta wadhamini kwenye safari yake ya Urais TZ 2015

on

Mheshimiwa January Makamba, akiwasili ofisi za CCM mkoa wa IringaJumapili JUNE 07 2015 ilikuwa siku nyingine ambayo tulishuhudia mmoja wa Wagombea Urais Tanzania, January Makamba akitangaza nia pale Mlimani City Dar.

Aliongea vingi ambavyo viko kwenye mipango yake kuifanyia TZ kama akipata nafasi ya kuteuliwa na kuchaguliwa kuwa Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.

Safari yake imeendelea Mikoa mbalimbali akiomba kupata wadhamini, hapa zimefikia pichaz zake akiwa Iringa.

.

Naibu Waziri January Makamba, akipokelewa na wanachama wa CCM Iringa mjini.

.

January Makamba, akisalimiana na Thomas Kikulacho Katibu Mwenezi CCM Iringa mjini

.

January Makamba, akiwahutubia wanachama wa CCM Iringa mjini waliojitokeza kumdhamini.

.

Vijana wa bodaboda mjini Iringa, wakimpokea January Makamba.

Wanafunzi wa Vyuo vikuu vya Iringa wakimshangilia na kumsikiliza Mheshimiwa January Makamba

Wanafunzi wa Vyuo vikuu vya Iringa wakimshangilia na kumsikiliza January Makamba

Soma na hizi

Tupia Comments