June 20, 2017 ilikuwa ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa Kiba Junior ambaye ni mtoto wa staa wa Bongofleva Alikiba ambapo watu mbalimbali walihudhuria kwenye Iftar na kwa pamoja kusherehekea Birthday ya Kiba Junior.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Play
ULIPITWA:Uzinduzi wa video ya Orugambo ya Saida Karoli, mastaa wazungumza