on air with millardayo

Exclusive: Joh Makini amekubali kuiongelea kolabo yake na Davido na walipofikia

on

Joh Makini alikaa kwenye Exclusive Interview na mtangazaji Millard Ayo kwenye #OnAIRwithMillardAyo na kuweka ukweli mezani kuhusu kolabo yake na Davido, audio tayari imekamilika ila video bado… Joh Makini kaongea yote ikiwemo ilivyoanza mpaka wakarekodi kolabo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments