Siku zote sitoacha kukusogezea stori zinazonifikia mtu wangu, ikiwa bado nipo kwenye jiji la Johannesburg Afrika Kusini na hapa nimekuwekea picha 31 zikionesha barabara zao pamoja na Daladala zinazotumika kubebea abiria kwenda katika shughuli mbalimbali.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.