Leo March 19, 2018 Moja ya shughuli inayoendelea ikulu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ameongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo.
Nimekuwekea PICHA 11 za ilivyokuwa Ikulu leo ambapo Wafanyabiashara wakubwa wametoa changamoto za kwa Rais.
Rais Magufuli anasikiliza Wafanyabiashara wakifunguka Ikulu