Top Stories

Video ya Kamishna wa Magereza TZ akifunguka kuhusu msamaha wa JPM kwa Wafungwa jana

on

Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Dr. Juma Malewa aeleza namna Jeshi la Magereza lilivyotekeleza msamaha uliotolewa na Rais Magufuli kwa Wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa na wawili waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.

HD VIDEO: JPM ALIVYOTANGAZA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI KOCHA... BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

PAPI KOCHA ALIKUA KWEYE MPIRA WAKATI JPM ANATANGAZA MSAMAHA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments