Leo April 9, 2019 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali iko mbioni kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki nchini kwa sababu ni hatarishi kwa mazingira.
#LIVEBUNGENI: Kuanzia June 1, 2019 itakuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kubebea bidhaa za aina yoyote” Waziri Mkuu #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/9h3gILdfnl
— millardayo (@millardayo) April 9, 2019
#LiveBungeni: “Ifikapo May 31, 2019 itakuwa ni mwisho wa kutumia mifuko ya plastiki kubeba bidhaa mbalimbali, tunatoa ya fursa ya Viwanda kubadilisha teknolojia zao, Wauzaji kuondoa mizigo yao au kuiuza yote” Waziri Mkuu#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/AMvA7ZpdXL
— millardayo (@millardayo) April 9, 2019